Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidh Ameir, leo Mei 6, 2026, kwa niaba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, amewasilisha Bungeni Hati za Randama za Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027.