Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda na Katibu Mkuu Prof. Carolyne Nombo wameshiriki uzinduzi wa Mbio za Mwenge Kitaifa, Aprili 2, 2024 Mkoani Kilimanjaro.