Balozi wa Tanzania nchini Uganda,* Mhe. Meja Generali Paul Kisesa Simuli ametembelea banda la maonesho la Kamisheni ya Vyuo Vikuu Nchini (TCU) katika Mkutano wa Kwanza wa Mawaziri wa Kikanda kuhusu ujumuishi Elimu ya Juu la Jumuiya ya Afrika Mashariki, Kampala, Uganda