Karibu katika Mfumo mpya wa uanzishaji na usajili wa Shule (SAS). Sajili kupitia sas.moe.go.tz
Mfumo huu unanza rasmi kutumika tarehe 01 Oktoba, 2024.
Mfumo ni Maalum kwa Wadau wote wanaohitaji kuanzisha na kusajili Shule za Awali, Awali na Msingi, Sekondari na Vyuo vya Ualimu.
Pia mfumo unatumika kufanya maboresho au mabadiliko ya taarifa za shule au Chuo.
Kwa msaada na mwongozo zaidi tupigie 0784263198 au 0717915175
Au unaweza kuwasiliana nasi kupitia Kituo cha Huduma kwa Wateja kwa namba 0262160270 au 0737962765