Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof . Adolf Mkenda, Katibu Mkuu Prof. Carolyne Nombo wakizungumza na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda katika sherehe ya uzinduzi wa Mbio za Mwenge Kitaifa, Aprili 2, 2024 Mkoani Kilimanjaro.