Viongozi Mbalimbali wa Wizara wakiongozwa na Kamishna wa Elimu wakifuatilia Uwasilishwaji taarifa kuhusu shughuli za Kamati ya Kadumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo iliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Husna Sekiboko Bungeni leo Februari 7, 2024.