Viongozi kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia wakiingia Bungeni leo 07, 2024 kufuatilia uwasilishaji wa Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo.