Uwazi
Watumishi wetu watakuwa wanatoa maelekezo ambayo ni wazi na yanayoeleweka wakati wa utoaji wa huduma katika eneo la elimu, sayansi, teknolojia na ubunifu.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Inapakia ukurasa…
Tafadhali subiri kidogo.
Watumishi wetu watakuwa wanatoa maelekezo ambayo ni wazi na yanayoeleweka wakati wa utoaji wa huduma katika eneo la elimu, sayansi, teknolojia na ubunifu.
Wizara itawajibika katika maamuzi yanayohusiana na utoaji wa elimu, sayansi, teknolojia na ubunifu.
Wizara itahakikisha uwepo wa watumishi wenye ujuzi, umahiri, maarifa na uelewa katika kutekeleza majukumu yake katika eneo la elimu, sayansi, teknolojia na ubunifu.
Tutazingatia misingi ya maadili ya Utumishi wa Umma katika kufikia malengo yetu.
Tutakuza ujuzi, umahiri, na uvumbuzi katika utoaji wa huduma za elimu na mafunzo ili kuleta mabadiliko chanya kupitia sayansi, teknolojia na ubunifu.
Tutafanya kazi kwa kushirikiana na kuunganisha juhudi zetu ili kufikia malengo ya Wizara na kuchangia katika maendeleo ya Taifa.