Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga akiwa katika picha na baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mara baada ya kufungua mkutano wa wa wadau wa elimu wa kujadili fursa za ufadhili zinazopatikana katika balozi mbambali hapa nchini.