Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo Machi 1, 2024 Jijini Dar es Salaam amefungua Kongamano la Elimu bila Kikomo lililoandaliwa na Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW).