Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia anayeshughulikia masuala ya Elimu Dkt. Charles Wilson Mahera akikagua mabanda kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wanaotekeleza Afua za vijana Balehe Nchini.
Mkutano huu unalenga kujadili utekelezaji na hamasa katika kuwekeza afua hizo umeanza hii leo Octoba, 31 na utatamatika tarehe 1, Novemba, 2024. Mkutano huo unafanyika katika Viwanja vya Hotel ya St. Gaspar