Dkt. Rwezimula atoa Pongezi kwa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Franklin Rwezimula ameipongeza Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kwa kusimamia kikamilifu ubora wa Elimu unatolewa na Vyuo Vikuu nchini.

Dkt. Rwezimula ametoa pongezi hizo Agosti 28, 2023 wakati alipotembelea Ofisi ya Tume hiyo Jijini Dar es Salaam kujionea utekelezaji wa majukumu mbalimbali.

Awali akitoa taarifa kuhusu
utekelezaji wa shughuli mbalimbali, Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzani Prof. Charles Kihampa amebainisha kuwa kutokana na maboresho wanayoyafanya kwenye mifumo ya kitehama, yamerahisisha upatikanaji wa taarifa mbalimbali zinazohusu elimu ya Juu nchini, ikiwa ni pamoja na kurahisisha zoezi la udahili kwa Wanafunzi.

Dkt. Rwezimula amesema kuwa hatua hiyo imeongeza tija na ufanisi wa utolewaji wa huduma kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu pamoja na Wadau mbalimbali wa Elimu.

Go Back

©  Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. Haki zote zimehifadhiwa.

Error | Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

Error

Error message

  • Warning: Cannot modify header information - headers already sent by (output started at /data/moego/public_html/includes/bootstrap.inc:1692) in drupal_send_headers() (line 1551 of /data/moego/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • PDOException: SQLSTATE[HY000]: General error: 1114 The table 'accesslog' is full: INSERT INTO {accesslog} (title, path, url, hostname, uid, sid, timer, timestamp) VALUES (:db_insert_placeholder_0, :db_insert_placeholder_1, :db_insert_placeholder_2, :db_insert_placeholder_3, :db_insert_placeholder_4, :db_insert_placeholder_5, :db_insert_placeholder_6, :db_insert_placeholder_7); Array ( [:db_insert_placeholder_0] => Dkt. Rwezimula atoa Pongezi kwa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania [:db_insert_placeholder_1] => node/1121 [:db_insert_placeholder_2] => [:db_insert_placeholder_3] => 216.73.216.72 [:db_insert_placeholder_4] => 0 [:db_insert_placeholder_5] => [:db_insert_placeholder_6] => 77 [:db_insert_placeholder_7] => 1782375554 ) in statistics_exit() (line 91 of /data/moego/public_html/modules/statistics/statistics.module).
The website encountered an unexpected error. Please try again later.