Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo azindua rasmi Makala jongefu ya mtandaoni (IPOSA Documentary) wakati wa Kongamano la Kitaifa la Elimu bila Ukomo.