Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. kassim Majaliwa leo Machi 14, 2024 amewasili katika Bandari ya Dar es salaam kwa ajili ya kuzindua Nyaraka za Usimamizi wa Maafa na kushuhudia zoezi la Utayati wa dharura za Kemikali na Kimionzi Tanzania mpango ulio chini ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia