Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda Machi 1, 2024 ameshiriki kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Mhe. Ali Hassan Mwinyi katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.