Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo amekutana na wawakilishi wa Kampuni ya Teknolojia ya HUAWEI Tanzania wakiongozwa na Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni hiyo Bw. Eric Yang jijini Dodoma



Viongozi hao wamejadili kuhusu ushirikiano wenye lengo la kuimarishaji ufundishaji na matumizi ya TEHAMA katika sekta ya Elimu.