
Ni Alhamisi ya Mei 7, 2026 ya kuendeleza juhudi za Serikali katika Ujuzi, Sayansi na Teknolojia ambayo Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imebeba dhamana hiyo

Tayari Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amewasili Bungeni kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia yenye matumaini makubwa katika kukuza ujuzi, matumizi ya teknolojia katika ufundishaji na ujifunzaji.


