Viongozi Mbalimbali wameshawasili katika Bandari ya Dar es Salaam kushuhudia Uzinduzi wa Nyaraka za Usimamizi wa Maafa na zoezi la utayari wa dharura za Kemikali na Mionzi Tanzania ambapo Mgeni rasmi ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa