Baadhi ya washiriki wa hafla ya uzinduzi wa Programu ya Kuboresha Kada ya Ualimu tayari wamewasili Diamond Jubilee kushiriki uzinduzi huo unaotarajiwa kufanywa na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Dotto Biteko Machi 13, 2024