Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo na Naibu Katibu Mkuu Prof. Daniel Mushi wakifuatilia uwasilishaji wa Hotuba ya Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka 2026/27 ya wizara hiyo Bungeni - Dodoma leo Mei 7, 2026