
Katibu Mkuu Prof. Carolyne Nombo na Naibu Katibu Prof. Daniel Mushi wakiteta jambo na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda katika viwanja vya Bunge leo Mei 7, 2026 alipowasili kwa ajili ya kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha 2026/27


