Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wannu Hafidh Ameir, akikabidhi vifaa vya TEHAMA kwa Wakuu wa shule za msingi na sekondari kutoka mikoa tisa ya Tanzania Bara na Visiwani.