Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Januari 08, 2026 azindua Jengo la Taaluma na Utawala la Taasisi ya Sayansi za Bahari, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam iliyopo eneo la Buyu Wilaya ya Mjini Magharibi B Visiwani Zanzibar.