
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia katika hafla ya uzinduzi wa Jengo la Taaluma na Utawala la Taasisi ya Sayansi za Bahari, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM -IMS) Januari 08, 2026.

