Viongozi mbalimbali kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI wakitoa maoni katika kikao cha sekta kuhusu taarifa ya awali ya Mapitio ya Sheria ya Elimu, Sura ya 353