Menejimenti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI Novemba 24, 2025 zimekutana kupokea na kujadili mapendekezo ya maandalizi ya kuwapokea ya Wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na Elimu ya Sekondari hatua ya Chini mwaka January 2028.



Katika kikao hicho pia wamejadili Mpango wa Utekelezaji wa Mitaala Iliyoboreshwa ili kuhakikisha utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014, Toleo la 2023.