Kesho Aprili 26, 2026 tunaposherehekea Muungano wetu, historia ya elimu ya Ualimu inaandikwa kupitia uwekaji wa jiwe la msingi la majengo mapya ya Chuo cha Ualimu Dakawa.



Tukio hili muhimu litaongozwa na Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, Makamu wa Pili wa Rais Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.



Katika hafla hiyo, viongozi wa serikali, wadau wa elimu na wananchi wa Mkoa wa Morogoro watashuhudia hatua kubwa ya uimarishaji wa miundombinu ya elimu ya uwalimu