Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imeongeza muda wa Udahili wa Shahada ya Kwanza  katika Vyuo vya Elimu ya Juu Nchini. Dirisha la Udahili awamu hii ya Tatu na ya mwisho litafunguliwa kuanzia tarehe 6*hadi 10 Oktoba, 2025