Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda pamoja na Viongozi katika mazishi ya aliyekuwa waziri mkuu mstaafu Mhe.Edward Lowassa leo februari 17,2024 katika kijiji cha Ngarash wilayani Monduli mkoa wa Arusha