Picha Viongozi mbalimbali walioshiriki katika Ufunguzi wa Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) na Mashindano ya Umoja wa Michezo Shule za Sekondari Tanzania (UMISETA) katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora