
Viongozi mbalimbali wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mei 7, 2026, wakifuatilia kwa makini uwasilishaji wa Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2026/2027, iliyosomwa Bungeni na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda.


