Picha mbalimbali za tukio la utiaji saini makubaliano kati ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) na Kampuni ya Airtel Tanzania ya utekelezaji Mradi ya Airtel Smart Wasomi.