Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga akipata maelezo juu ya fursa za ufadhili wa masomo zinazopatikana katika balozi mbalimbali hapa nchini kabla ya kufungua mkutano wa wadau hao uliofanyika Jijini Dar es Salaam