MAJUKUMU YA SEKSHENI YA ITHIBATI YA SHULE

  • Kuhakikisha vyuo/shule zote zinazosajiliwa zinakidhi vigezo ili kuinua ubora wa elimu nchini.
  • Kutoa elimu ya usajili wa shule kwa wadau.
  • Utoaji wa leseni za kufundishia.
  • Utoaji wa vyeti vya usajili wa shule.
  • Kuandaa na kuboresha miongozo ya usajili wa shule
  • Kuandaa taarifa za utekelezaji za mwezi,robo, nusu na mwaka za seksheni kwa kamishna wa elimu
  • Kufuta usajili wa shule zinazokiuka sheria, taratibu, kanuni na miongozo ya usajili wa shule