Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kinara Tuzo ya Matumizi Sahihi ya Nishati ya Kupikia iliyotolewa leo Juni 05, 2024 na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango katika Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika Jijini Dodoma.