
Mageuzi ya elimu kupitia Sera na Mitaala mipya yamewawezesha wanafunzi kujiunga na Sekondari za Mkondo wa Amali na kujifunza sbtadi kwa vitendo. Katika picha, wanafunzi wa Shule za Sekondari Baobab na Dar es Salaam katika mafunzo kwa vitendo, hapo tunajenga ujuzi na umahiri katika kazi , kwa jinsi hii wanaweza kuajiriwa kujiajiri na kuajiri.