FURSA YA UFADHILI WA MASOMO KWA WANACHUO WA STASHAHADA YA UALIMU ELIMU MAALUMU KWA MWAKA WA MASOMO 2025/2026
TANZANIA AND IRELAND STRENGTHEN COOPERATION IN HIGHER EDUCATION FUNDING
UJUMBE KUTOKA ZANZIBAR WATEMBELEA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Leo, tarehe 19 Agosti 2025, ujumbe kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar umetembelea Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu, Prof. Carolyne Nombo.

Lengo kuu la ziara hiyo lilikuwa kujifunza namna Elimu ya Watu Wazima pamoja na Elimu nje ya Mfumo Rasmi inavyotekelezwa Tanzania Bara.
SERIKALI KUIMARISHA MATUMIZI YA TEHAMA KATIKA KUFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI
Serikali ya Tanzania imeendelea kutekeleza kwa kasi mageuzi ya elimu, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 sambamba na mwelekeo wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Mageuzi haya yanalenga kuimarisha ujuzi, sambamba na matumizi ya sayansi na teknolojia katika ufundishaji na ujifunzaji.
Foreign Scholarships Coordinated by the Department of Higher Education through Ministry of Education, Science and Technology
| S/N | Country | Name of Scholarship | Quota |
|---|
PROF MUSHI AKUTANA NA MENEJIMENTI YA OUT JIJINI DAR ES SALAAM
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Daniel Mushi, Agosti 15, 2025, amekutana na kufanya mazungumzo na menejimenti ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Open University of Tanzania - OUT) jijini Dar es Salaam.

Katika kikao hicho, Prof. Mushi alipokea taarifa kuhusu hali ya utoaji elimu chuoni hapo pamoja na maendeleo ya miradi mbalimbali inayoendelea kutekelezwa.
10 WAENDA IRELAND SHAHADA ZA UMAHIRI
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Daniel Mushi, leo Agosti 15, 2025, ameshiriki katika semina maalum ya kuwaaga Watanzania 10 waliopata ufadhili wa masomo ya Shahada za umahiri (Masters) kutoka Serikali ya Ireland kupitia Ubalozi wa Ireland nchini Tanzania.

Akizungumza katika hafla hiyo, Prof. Mushi alisema Serikali ya Tanzania inaendelea kufanya juhudi kuhakikisha vijana wanapata fursa za kupata elimu na ujuzi unaohitajika katika ulimwengu sasa.
THE SWISS GOVERNMENT EXCELLENCE SCHOLARSHIPS FOR TANZANIAN SCHOLARS – ACADEMIC YEAR 2026/2027
1.0 Call for Applications
The Ministry of Education, Science and Technology informs the public that the Swiss Confederation is offering Swiss Government Excellence Scholarships to promote international exchange and research cooperation between Switzerland and Tanzania.

