WIZARA YA ELIMU NA TAASISI YA FLAVIANA MATATA WAJA NA USHIRIKIANO KUBORESHA ELIMU NA AFYA KWA WASICHANA

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kushirikiana na Taasisi ya Flaviana Matata Foundation leo, Agosti 7, 2025, wamekutana jijini Dodoma kujadili rasimu ya makubaliano ya ushirikiano wa kimkakati unaolenga kuimarisha sekta za elimu, afya na mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia kwa watoto wa kike nchini.

Swahili

PROF. ADOLF MKENDA, AMETANGAZA RASMI UZINDUZI WA TUZO YA UANDISHI BUNIFU KWA KISWAHILI

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, ametangaza rasmi uzinduzi wa Tuzo ya Uandishi Bunifu kwa Kiswahili, akitoa wito kwa waandishi kuwasilisha miswada yao kwa Kamati ya Kitaifa ya Tuzo.



Prof.Mkenda ametangaza uzinduzi huo Agosti 6, 2025 Jijini Dar es Salaam wakati wa Mkutano wa waandishi wa habari baada ya kikao cha awali na wadau wa uandishi bunifu kujadili maboresho ya tuzo hizo.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS