RAIS SAMIA ATOA BIL 3.2 UJENZI WA SHULE MBILI WILAYANI ROMBO KUPITIA MRADI WA SEQUIP
SCHOLARSHIP OPPORTUNITIES FROM THE KINGDOM OF SAUDI ARABIA 2025/2026
SCHOLARSHIP OPPORTUNITIES FROM THE KINGDOM OF SAUDI ARABIA 2025/2026
Elimu ya Juu
Elimu ya Ualimu
BOOST YALETA MAGEUZI YA TEHAMA WALIMU WAJIVUNIA UJUZI MPYA
Mpango wa Kuimarisha na Kuboresha Elimu ya Awali na Msingi (BOOST) umewezesha upatikanaji vifaa vya TEHAMA katika shule teule na vituo vya walimu 400 ili kurahisisha ujifunzaji na ufundishaji kwa njia za Kisasa kutumia teknolojia.

Kupitia mpango huo walimu 600 wa TEHAMA, walimu wakuu 600 na waratibu elimu kata 450 wamepata mafunzo ya matumizi Bora ya vifaa hivyo vya TEHAMA katika kuleta tija kwenye ufundishaji na ujifunzaji.
BOOST YAIBUA VIPAJI SHULE YA MSINGI MZIZIMA
Na
WyEST
DSM
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mzizima Maua Kibendu, ameishukuru Serikali kuwa kuwa kupitia Programu ya BOOST imewezesha ujenzi wa shule hiyo na kutoa mafunzo kwa Walimu 16, hali iliyochangia kuimarisha ufundishaji na ujifunzaji kwa wanafunzi na kuibua vipaji vwa wanfunzi.
WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM WAKOSHWA NA MIUNDOMBINU YA BOOST
Wanafunzi katika Shule ya Msingi Azimio iliyopo Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe, wamefurahia ujenzi wa miundombinu bora na jumuishi inayotoa fursa ya elimu kwa wote ikiwemo wanafunzi wenye mahitaji Maalum.

Hawa Njovi, mwanafunzi mwenye ulemavu wa viungo ana malengo ya kuwa daktari wa watoto, amesema miundombinu rafiki inahamasisha ujifunzaji hivyo amewashauri wanafunzi wenye mahitaji Maalum wasikate tamaa.

