TANZANIA YASHIRIKI KONGAMANO LA MWAKA LA ELIMU KIDIJITALI 2025 UFARANSA

Wiki ya kongamano la ujifunzaji Kidijitali  inayoendeshwa na  Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kuhusu Elimu kiditali  (Digital Learning Week 2025) inafanyika katika Makao Makuu ya UNESCO jijini Paris, Ufaransa, ikiwa na  Kaulimbiu “AI's Transformative role in reshaping Education" ikilenga kuona Akili Unde na  Mustakabali wake katika Mabadiliko ya kielimu Duniani.

Swahili

SCHOLARSHIP OPPORTUNITIES FROM THE ARAB REPUBLIC OF EGYPT, 2025/2026

1.    Call for Applications

The Ministry of Education, Science and Technology is pleased to inform the general public that theGovernment of Arab Republic of Egypt is offering scholarships to Tanzanian students for Undergraduate, Masters and Phd programmes tenable at various Universities in Egypt for the 2025/2026 academic year. 

The closing date for applications on the e-platform is 15 September 2025.

Swahili

MWONGOZO WA KUSHIRIKI KATIKA KAMBI MAALUM YA MAARIFA (BOOTCAMP) KWA AJILI YA MAANDALIZI YA KUJIUNGA NA VYUO VIKUU BORA DUNIANI KATIKA FANI ZA SAYANSI YA DATA, AKILI UNDE, NA SAYANSI SHIRIKISHI KWA MWAKA 2025/2026 (SAMIA SCHOLARSHIP EXTENDED DS/AI+)

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS