COMMONWEALTH MASTER’S AND PhD SCHOLARSHIPS TENABLE IN THE UNITED KINGDOM 2026
HALMASHAURI YA MERU YAJIVUNIA BOOST KUWEZESHA UTEKELEZAJI WA SERA YA ELIMU
Kupitia Program ya BOOST, Halmashauri ya Wilaya ya Meru mkoani Arusha, imepokea jumla ya Sh. Bilioni 2 na milioni 71 ambayo imewezesha ujenzi wa miundombinu mbalimbali ya Elimu ya Awali na Msingi.

Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Zainabu Makwinya kati ya fedha hizo, milioni 332 zinawezesha ujenzi wa Shule ya Msingi kwenye Shule ya Sekondari, ikiwa ni miongoni mwa Shule zinazojengwa nchi nzima kuwezesha utekelezaji wa Sera ya Elimu, kwa kuzingatia Elimu ya lazima sasa ni miaka kumi.
MRADI WA SEQUIP KUMKOMBOA MTOTO WA KIKE DAR ES SALAAM NA RUVUMA
MRADI WA SEQUIP WAJENGA SHULE 6 MPYA IRAMBA - DC MWENDA
MIUNDOMBINU YA BOOST YAONGEZA FURSA ZA UJIFUNZAJI KWA WENYE MAHITAJI MAALUM
STRATEGIC PLAN 2021/22 - 2025/26
DKT. OMAR: ELIMU YA WATU WAZIMA NI SILAHA DHIDI YA UJINGA NA UMASKINI
Mafunzo maalum ya kuwajengea uwezo wawezeshaji wa elimu ya watu wazima, wakiwemo maafisa wa magereza, yamezinduliwa rasmi leo jijini Dodoma, Mafunzo hayo yanaendeshwa na Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (WyEST), yakiwa na lengo la kukuza ujuzi na stadi bunifu kupitia mbinu mpya ya RIFLEKTI inayolenga kuimarisha maarifa ya msingi ya KKK (Kusoma, Kuandika na Kuhesabu) pamoja na stadi za maisha.

