TAARIFA KWA UMMA KUHUSU FURSA YA UFADHILI WA MASOMO KWA WANACHUO WA STASHAHADA YA UALIMU ELIMU MAALUMU KWA MWAKA WA MASOMO 2024/2025
1.0 UTANGULIZI
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatangaza fursa ya Ufadhili wa Masomo ngazi ya Stashahada ya Ualimu wa Elimu Maalumu. Maombi yanakaribishwa kwa wanachuo wanaosoma, Stashahada ya Elimu maalumua katika maeneo yafuatayo: Ulemavu wa Akili, Usonji, Uziwi, Uziwi Kutoona na Ulemavu wa Uoni.
2.0 SIFA ZA KUPATA UFADHILI
Ufadhili huu utatolewa kwa wanafunzi wenye sifa zifuatazo:


