TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA KWANZA WA MAWAZIRI WA KIKANDA KUHUSU ELIMU YA JUU AFRIKA MASHARIKI

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia anayesimamia Sayansi, Teknolojia na Elimu ya Juu, Prof. Daniel Mushi, ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa kwanza wa Mawaziri wa Afrika Mashariki kuhusu ujumuishi katika Elimu ya Juu kikanda unaofanyika tarehe 9 hadi 11 Septemba 2025 jijini Kampala, Uganda.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS