UDSM YAANZISHA PROGRAM YA MAFUNZO YA TIBA FIZIKIA KWA MATIBABU, KUJENGA UWEZO WA KITAIFA
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimeanzisha Programu Maalumu ya Mafunzo ya Tiba Fizikia katika Masuala ya Matibabu, ikiwa ni hatua muhimu katika kuimarisha uwezo wa kitaifa wa kutoa huduma za afya zinazotegemea teknolojia ya kisasa.




