WASHAURI WA WANAFUNZI KATIKA VYUO NI NGUZO KWA MAFANIKIO YA WANAFUNZI KIELEMU

Na WyEST
Zanzibar

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayanai na Tenolojia amesdhughulikia Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia Prof.Daniel Mushi amesema Washauri wa Wanafunzi katika Vyuo wana nafasi kubwa ya kusaidia wanafunI kufikia malengo yao kielimu.



Amesema hayo Septemba 26 akifunga Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 43 wa Chama cha Washauri wa Wanafunzi Tanzania 1984 ( TACOGA1984 ) uliofanyika Maruhubi Kampasi ya Chuo Kikuu SUZA.

Swahili

TANZANIA KUENDELEA KUIMARISHA MIFUMO YA UTOAJI ELIMU YA JUU

Taasisi ya Sayansi ya Bahari (IMS) ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam iliyopo Buyu Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,
Naibu katibu Mkuu Sayansi na Teknolojia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Daniel Mushi amekutana na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na mafunzo ya Amali Zanzibar Ndugu Khamis Abdullah Said na kujadiliana kuhusu kuimarisha utoaji Elimu ya Juu kwa kuzingatia mabadiliko ya kisera na uchangamano wa kikanda.

Swahili

WIZARA YA ELIMU NA TAMISEMI WAJADILI UTEKELEZAJI WA MRADI WA SEQUIP

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais – TAMISEMI leo Septemba 26, 2025 wamefanya kikao kazi jijini Dodoma kwa ajili ya kupokea na kujadili utekelezaji wa Mradi wa Secondary Education Quality Improvement Program (SEQUIP).



Katika kikao hicho, pande zote mbili zilikubaliana kuendeleza ushirikiano wa karibu ili kuhakikisha mradi unatekelezwa kwa ufanisi na kuleta matokeo chanya katika sekta ya elimu nchini.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS