WAZIRI MKUU ATOA MAELELEKEZO YA KUIMARISHA MAENDELEO YA WALIMU NA ELIMU NCHINI
TANGAZO LA FURSA ZA UFADHILI WA MASOMO KWA NGAZI YA SHAHADA YA KWANZA, UZAMILI NA UZAMIVU KUTOKA SHIRIKISHO LA URUSI KWA MWAKA WA MASOMO 2026/2027
TANGAZO LA FURSA ZA UFADHILI WA MASOMO KWA NGAZI YA SHAHADA YA KWANZA, UZAMILI NA UZAMIVU KUTOKA SHIRIKISHO LA URUSI KWA MWAKA WA MASOMO 2026/2027
KUPITIA SKOLASHIPU YA SAMIA: MALENGO YETU YAFIKIA HATUA MUHIMU
JUKWAA LA ELIMU: KULETA MABADILIKO KUPITIA UWEKEZAJI BORA
PROF. NOMBO AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA KAMATI YA GIGA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo, ameongoza kikao cha kwanza cha Kamati Tendaji ya mradi wa uunganishaji Shule na Intaneti (GIGA) kilichofanyika Wizara hiyo
Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma.
SERA MPYA YA ELIMU YAWAPA WANAFUNZI FURSA YA KUJIFUNZA KWA VITENDO NA KUJIANDAA KWA AJIRA
Mageuzi ya elimu kupitia Sera na Mitaala mipya yamewawezesha wanafunzi kujiunga na Sekondari za Mkondo wa Amali na kujifunza sbtadi kwa vitendo. Katika picha, wanafunzi wa Shule za Sekondari Baobab na Dar es Salaam katika mafunzo kwa vitendo, hapo tunajenga ujuzi na umahiri katika kazi , kwa jinsi hii wanaweza kuajiriwa kujiajiri na kuajiri.
DKT. OMAR: MAFUNZO YA UONGOZI YALETA MABADILIKO KATIKA ELIMU
TAARIFA MUHIMU

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imeongeza muda wa Udahili wa Shahada ya Kwanza katika Vyuo vya Elimu ya Juu Nchini. Dirisha la Udahili awamu hii ya Tatu na ya mwisho litafunguliwa kuanzia tarehe 6*hadi 10 Oktoba, 2025

