WIZARA YA ELIMU NA KTO WAWEKA MIKAKATI YA KUIMARISHA ELIMU JUMUISHI KUPITIA FDCS
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo, amekutana na Mkurugenzi wa Karibu Tanzania Organization (KTO), Ndugu Maggid Mjengwa, katika ofisi za Wizara jijini Dodoma kwa mazungumzo ya kuimarisha ushirikiano katika utekelezaji wa programu mbalimbali za elimu kupitia Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDCs).
VYUO 12 VYA URUSI VYALETA FURSA ZA SCHOLARSHIP TANZANIA
Maonesho Maalum ya Ufadhili wa Masomo kutoka Urusi yamefanyika Oktoba 10, 2025, jijini Dar es Salaam katika Kituo cha Sayansi na Utamaduni wa Urusi yakihudhuriwa na wadau mbalimbali wa elimu.
MAHUSIANO YA KIELIMU YAZIDI KUNG’ARA. VYUO 12 VYA URUSI VYALETA FURSA ZA SCHOLARSHIP TANZANIA
TUNAENDELEA KUKUHUDUMIA KWA WELEDI NA KWA WAKATI. MPANGO UMEWEZEKANA
KARIBU TUKUBUDUMIE
ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 19 ZATUMIKA KUJENGA VYUO VYA VETA VINNE
Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekabidhi Vyuo vinne vya Ufundi Stadi na Huduma kwa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), vilivyopo Njombe, Simiyu, Rukwa na Geita, kwa gharama ya jumla ya shilingi bilioni 19.13

