Mhe. kassim Majaliwa amewasili katika Bandari ya Dar es salaam kwa ajili ya kuzindua Nyaraka za Usimamizi wa Maafa

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. kassim Majaliwa leo Machi 14, 2024 amewasili katika Bandari ya Dar es salaam kwa ajili ya kuzindua Nyaraka za Usimamizi wa Maafa na kushuhudia zoezi la Utayati wa dharura za Kemikali na Kimionzi Tanzania mpango ulio chini ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

Swahili

Viongozi Mbalimbali wameshawasili katika Bandari ya Dar es Salaam kushuhudia Uzinduzi wa Nyaraka za Usimamizi wa Maafa

Viongozi Mbalimbali wameshawasili katika Bandari ya Dar es Salaam kushuhudia Uzinduzi wa Nyaraka za Usimamizi wa Maafa na zoezi la utayari wa dharura za Kemikali na Mionzi Tanzania ambapo Mgeni rasmi ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa

Swahili

Programu ya Kuboresha Kada ya Ualimu (GPE TSP) inalenga kuboresha ujifunzaji jumuishi unaomlenga mwanafunzi kwa kuzingatia mabadiliko ya mifumo iliyoboreshwa, Prof. Carolyne Nombo

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo amesema Programu ya Kuboresha Kada ya Ualimu (GPE TSP) inalenga kuboresha ujifunzaji jumuishi unaomlenga mwanafunzi kwa kuzingatia mabadiliko ya mifumo iliyoboreshwa, mipango, usimamizi na usawa wa kijinsia katika Kada ya Ualimu.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS