Prof. Peter Msoffe led discussions during a consultative meeting between TCU and universities offering teacher education programmes in Dar es Salaam

On 5th March Director of Higher Education from the Ministry of Education, Science and Technology, Prof. Peter Msoffe led discussions during a consultative meeting between Tanzania Commission for Univetsities (TCU) and universities offering teacher education programmes in Dar es Salaam.

Swahili

Mwongozo wa Shule ya Nyumbani Mkombozi kwa Wanafunzi wenye mahitaji maalum

Mkurugenzi wa Elimu Maalumu kutoka wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt Magreth Matonya amesema Serikali imetoa Mwongozo wa Shule Nyumbani ili kuhakikisha watoto wenye ulemavu ambao hawawezi kwenda shule walimu wanawafuata majumbani na kuwafundisha kama wanavyofundushwa shuleni na baadaye kutahiniwa kama wengine.

Swahili

Prof. Adolf Mkenda aungana na Viongozi mbalimbali wa Kitaifa katika uwanja wa New Amaan Complex visiwani Zanzibar

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda aungana na Viongozi mbalimbali wa Kitaifa wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa New Amaan Complex visiwani Zanzibar kuaga mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi, ambaye alifariki Dunia Februari 29, 2024 katika Hospital ya Mzena jijini Dar es Salaam.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS