Dr. Daniel Baheta ameipongeza Serikali ya Tanzania kuona kwamba sera mpya inatambua umuhimu wa elimu katika maisha ya mtu

Mkuu wa Kitengo cha Elimu Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) Dr. Daniel Baheta ameipongeza Serikali ya Tanzania kuona kwamba sera mpya inatambua umuhimu wa elimu katika maisha ya mtu, pamoja kuweka msisitizo wa utoaji wa elimu ya watu wazima kama sehemu ya msingi ya kujifunza kwa watu wote.

Swahili

Walimu 400 wa Sayansi na Kingereza Shule za Msingi Wanolewa

Zaidi ya walimu 400 wa masomo ya Sayansi na Kingereza wa Shule za Msingi za Mkoa wa Morogoro katika manispaa ya Morogoro wameanza mafunzo ya siku mbili katika Kituo cha Shule ya Msingi Kikundi ya kuendelea kutekeleza mtaala ulioboreshwa.



Mafunzo hayo ni mwendelezo wa mafunzo yanayoendelea kufanyika nchi nzima katika maeneo mbalimbali kwa walimu wote ili kuwawezesha kupata uelewa wa pamoja juu ya mitaala iliyofanyiwa maboresho.

Swahili

Prof. Mkenda akifungua mkutano wa maendeleo ya masoko ya mitaji katika Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)

Uwepo wa bidhaa bunifu na endelevu za masoko ya mitaji ikiwemo utoaji wa hatifungani za kugharamia na kuendeleza miradi ya maendeleo imefungua milango kwa Mataifa mbalimbali kuja Tanzania kupata ujuzi wa namna ya kutekeleza mikakati inayochangia maendeleo ya masoko ya mitaji kwenye Mataifa yao.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS